Preview
Description
Karibu Mwinyi App programu ya simu janja yenye taarifa muhimu kuhusu maendeleo na fursa mbalimbali ya Zanzibar. Programu hii inamsaidia mwananchi wa Zanzibar pamoja na watu waliopo nje ya nchi mfano. Diaspora kupata Habari na matukio mbalimbali yanayohusu nchi yake pamoja na Rais Dr. Hussein Ali Mwinyi. Vilevile kupitia program tumizi ya Mwinyi App mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali Pamoja na matukio yanayoendelea nchini. Mwinyi App imebeba module mbalimbali na kila moduli imebeba dhumuni lake, Module hizo ni Habari na Matukioa, Wasifu wa Mwinyi, Mwinyi Balozi, Ilani, Survey/Maoni, Mwinyi jamii, Mwinyi Room vile vile utapata kusikiliza na kutazama masimulizi mbalimbali, Makala, Ziara za Dr. Mwinyi ndani na nje ya Nchi Pamoja na Hotuba.
What's New
Version 1.0 2025-01-24
Technical Analysis
Package Overview Basic metadata
Bundle ID
com.mwinyiznz.mwinyiapp Current Version 1.0
Minimum iOS 16.0
Package Size App Store Size
Package Metadata 0 / 1 version records
0.0 / 5.0 (0 ratings)
Detailed binary, privacy manifest, framework, and Info.plist results have not been indexed for this package yet. The verified App Store and archive metadata above remains available.
More by TIMEOUT DIGITAL
Developer Information
Known Version Records
0 version records with stored package metadata • 1 known version records
Stored metadata does not guarantee a package is currently available to download.
| Details | Version / IDs | Version date | Action |
|---|---|---|---|
| Not archived | v1.0 App Store ID: 868592117Build: 1.0 | 2025-01-24 18:02:53 | Request Version |