Preview
Description
Biashara bila daftari huisha bila habari. Selpoa ni bure, tunatamani uachane na kuendesha biashara yako kiholela, au kwa kutumia daftari ndio maana tumeamua kuwaletea app ya Selpoa, bure bila malipo yoyote. Lengo letu ni kukuondoa kwenye shida za kuchanganya rekodi zako kwenye daftari, kuchanganya mahesabu, kusahau madeni au kokosea dau la deni, na matatizo mengineyo kama hayo ambayo yanakuondoa kwenye dhumuni kuu la kuchakata akili, kufikiria namna ya kuongeza wateja. Selpoa inakusaidia kufanya yafuatayo:- 1. Kurekodi mauzo, matumizi na madeni. 2. Kufatilia mwenendo wa bidhaa zako stoo, kufatilia mzigo unaoingia na mzigo unaotoka. (Stock taking) 3. Kukupa ripoti za mauzo, matumizi na madeni ndani ya siku, wiki, mwezi, mwaka au ndani ya idadi ya siku utakazo pendelea mwenyewe. 4. Kutengeneza risiti (SIO ZA TRA), na kutuma bili au deni kwa wateja wako. 5. Kurekodi mawasiliano ya wateja wako. 6. Kupokea malipo kwenye simu yako Kuna mengineyo mengi yanaendelea kufanyiwa matengenezo kama:- 1. Kukusaidia kuendesha duka zaidi ya moja 2. Kukusaidia kuendesha wauzaji zaidi ya mmoja Karibu, share na wafanya biashara wenzako ili tukue pamoja.
What's New
Version 1.3 2024-04-08
Tumeongeza vitu viwili vipya - Sasa unaweza ku record bili/oda kama imelipiwa wakati unauza, hakuna haja ya kwenda kurecord baada ya kutengeneza bili/oda ...Tumeongeza vitu viwili vipya - Sasa unaweza ku record bili/oda kama imelipiwa wakati unauza, hakuna haja ya kwenda kurecord baada ya kutengeneza bili/oda - Sasa unaweza ku record expenses zako Technical Analysis
Package Overview Basic metadata
Bundle ID
org.selpay.com Current Version 1.3
Minimum iOS 13.0
Package Size App Store Size
Package Metadata 0 / 4 version records
0.0 / 5.0 (0 ratings)
Detailed binary, privacy manifest, framework, and Info.plist results have not been indexed for this package yet. The verified App Store and archive metadata above remains available.
Developer Information
Known Version Records
0 version records with stored package metadata • 4 known version records
Stored metadata does not guarantee a package is currently available to download.
| Details | Version / IDs | Version date | Action |
|---|---|---|---|
| Not archived | App Store ID: 865015658 | Unknown | Request Version |
| Not archived | App Store ID: 864693844 | Unknown | Request Version |
| Not archived | App Store ID: 864589432 | Unknown | Request Version |
| Not archived | App Store ID: 864453572 | Unknown | Request Version |